Mwanzo 18:25
Mwanzo 18:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hasha usifanye hivyo, ukamwue mwenye haki pamoja na mwovu, mwenye haki awe kama mwovu. Hasha; Mhukumu ulimwengu wote asitende haki?
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Sidhani kama utafanya hivyo! Kuwaua watu wema pamoja na waovu; wema kutendewa sawa na waovu! La, hasha! Hakimu wa dunia yote hataacha kutenda yaliyo sawa!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 18