Mwanzo 18:23-24
Mwanzo 18:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu? Huenda ikawa mna watu wema hamsini humo mjini. Je, utauangamiza mji mzima badala ya kuuacha kwa sababu ya hao wema hamsini waliomo humo?
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu? Huenda ikawa mna watu wema hamsini humo mjini. Je, utauangamiza mji mzima badala ya kuuacha kwa sababu ya hao wema hamsini waliomo humo?
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abrahamu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu? Huenda wakawapo wenye haki hamsini katika mji, utaharibu, wala hutauacha mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo?
Shirikisha
Soma Mwanzo 18