Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 18:23 - Compare All Versions

Mwanzo 18:23 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu?

Shirikisha
Mwanzo 18 BHN

Mwanzo 18:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Abrahamu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu?

Shirikisha
Mwanzo 18 SRUV

Mwanzo 18:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu?

Shirikisha
Mwanzo 18 SUV

Mwanzo 18:23 NEN (Neno)

Abrahamu akamsogelea, akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu?

Shirikisha
Mwanzo 18 NEN