Mwanzo 18:19 - Compare All Versions
Mwanzo 18:19 BHN (Biblia Habari Njema)
Nimemchagua yeye na wazawa wake. Yeye atawafunza wazawa wake kushika njia yangu: Wawe waadilifu na wenye kutenda mambo ya haki, nami nipate kuwatimizia ahadi zangu.
Shirikisha
Mwanzo 18 BHNMwanzo 18:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana nimemchagua ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.
Shirikisha
Mwanzo 18 SRUVMwanzo 18:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike njia ya BWANA, wafanye haki na hukumu, ili kwamba BWANA naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zake.
Shirikisha
Mwanzo 18 SUVMwanzo 18:19 NEN (Neno)
Kwa maana nimemchagua yeye, ili awaongoze watoto wake na jamaa yake kufuata njia ya BWANA, kwa kuwa waadilifu na kutenda haki, ili BWANA atimize ahadi yake kwa Abrahamu.”
Shirikisha
Mwanzo 18 NEN