Mwanzo 18:12
Mwanzo 18:12 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hivyo Sara akacheka kimoyomoyo alipokuwa akiwaza, “Baada ya mimi kuwa mkongwe hivi na bwana wangu amezeeka, je, nitaweza kufurahia jambo hili?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, Sara alicheka kimoyomoyo akisema, “Mimi ni mzee, na mume wangu hali kadhalika. Je, nikiwa mzee hivi, nitaweza kufurahi na kupata watoto?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo Sara akacheka moyoni mwake, akisema, Niwapo mkongwe, nitapata furaha, na bwana wangu mzee?
Shirikisha
Soma Mwanzo 18