Mwanzo 18:10
Mwanzo 18:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmoja wao akasema, “Hakika nitakurudia wakati kama huu mwakani, na mkeo Sara atakuwa na mtoto wa kiume.” Sara alikuwa huko nyuma mlangoni mwa hema, akisikiliza.
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Hakika nitakurudia wakati huu huu mwakani, na tazama, Sara mkeo atapata mwana wa kiume. Sara akasikia mlangoni pa hema iliyokuwapo nyuma yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 18