Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 16:3 - Compare All Versions

Mwanzo 16:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, mjakazi wake ambaye alikuwa Mmisri, awe mke wake. Haya yalitokea baada ya Abramu kukaa katika nchi ya Kanaani kwa muda wa miaka kumi.

Shirikisha
Mwanzo 16 BHN

Mwanzo 16:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa hiyo, baada ya Abramu kukaa miaka kumi katika nchi ya Kanaani, Sarai mkewe Abramu alimtwaa Hajiri Mmisri, mjakazi wake, akampa Abramu mumewe, kama mke.

Shirikisha
Mwanzo 16 SRUV

Mwanzo 16:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.

Shirikisha
Mwanzo 16 SUV

Mwanzo 16:3 NEN (Neno)

Hivyo baada ya Abramu kuishi katika nchi ya Kanaani miaka kumi, Sarai akamchukua mjakazi wake Mmisri aliyeitwa Hajiri, na kumpa mumewe awe mke wake.

Shirikisha
Mwanzo 16 NEN