Mwanzo 16:2
Mwanzo 16:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Sarai akamwambia Abramu, “Unajua kuwa Mwenyezi-Mungu hajanijalia kupata watoto. Mchukue Hagari mjakazi wangu; huenda nikapata watoto kwake.” Abramu akakubali shauri la Sarai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16Mwanzo 16:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sarai akamwambia Abramu, kwa kuwa BWANA amenifunga tumbo nisizae, sasa mwingilie mjakazi wangu, labda nitapata uzao kutoka kwake. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16