Mwanzo 15:6 - Compare All Versions
Mwanzo 15:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu.
Shirikisha
Mwanzo 15 BHNMwanzo 15:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.
Shirikisha
Mwanzo 15 SRUVMwanzo 15:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.
Shirikisha
Mwanzo 15 SUVMwanzo 15:6 NEN (Neno)
Abramu akamwamini BWANA, naye kwake jambo hili likahesabiwa kuwa haki.
Shirikisha
Mwanzo 15 NEN