Mwanzo 15:5-6
Mwanzo 15:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamleta Abramu nje na kumwambia, “Tazama mbinguni! Zihesabu nyota, kama kweli utaweza kuzihesabu! Hivyo ndivyo wazawa wako watakavyokuwa wengi!” Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamtoa nje, akasema, Tazama juu mbinguni kisha uzihesabu nyota, kama unaweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako. Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akamleta nje, akasema, Tazama sasa mbinguni, kazihesabu nyota, kama ukiweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako. Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15