Mwanzo 14:20
Mwanzo 14:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Na atukuzwe Mungu Mkuu, aliyewatia adui zako mikononi mwako!” Naye Abramu akampa Melkisedeki mchango wake sehemu ya kumi ya vitu vyote alivyokuwa navyo.
Mwanzo 14:20 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Abarikiwe Mungu Aliye Juu Sana, ambaye amewaweka adui zako mkononi mwako.” Ndipo Abramu akampa Melkizedeki sehemu ya kumi ya kila kitu.
Mwanzo 14:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.
Mwanzo 14:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ahimidiwe Mungu Aliye Juu Sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.