Mwanzo 14:11-12
Mwanzo 14:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wale walioshinda, wakateka mali yote ya Sodoma na Gomora, kadhalika na mazao yao, wakaenda zao. Walimteka hata Loti, mwana wa nduguye Abramu aliyekuwa anakaa Sodoma, pamoja na mali yake, wakaenda zao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 14Mwanzo 14:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakachukua mali zote za Sodoma na Gomora na vyakula vyao vyote, wakaenda zao. Wakamtwaa Lutu, mwana wa nduguye Abramu, aliyekaa huko Sodoma, na mali yake, wakaenda zao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 14