Mwanzo 13:17
Mwanzo 13:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, inuka uitembelee nchi hii katika mapana na marefu, kwani nitakupa wewe.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ondoka, ukatembee katika nchi hii katika mapana yake, na marefu yake, maana nitakupa wewe nchi hiyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13