Mwanzo 13:14-15
Mwanzo 13:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya Loti kujitenga na Abramu, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Angalia toka hapo ulipo utazame pande zote: Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi. Nchi hii yote unayoiona nitakupa wewe na wazawa wako iwe yenu milele.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Abramu, alipokwisha kutengana na Lutu, Inua sasa macho yako, ukatazame kutoka hapo ulipo, upande wa kaskazini, na wa kusini na wa mashariki na wa magharibi; maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mwanzo 13