Mwanzo 13:12
Mwanzo 13:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Abramu akabaki nchini Kanaani na Loti akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, akahamishia kambi yake Sodoma.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abramu akakaa katika nchi ya Kanaani, na Lutu akakaa katika miji ya lile Bonde; akajongeza hema yake mpaka Sodoma.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13