Mwanzo 12:6
Mwanzo 12:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abramu akapita katikati ya nchi mpaka mahali patakatifu pa Shekemu; mpaka mwaloni wa More. Na Wakanaani siku zile walikaa katika nchi hiyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12Mwanzo 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Abramu akapita katikati ya nchi mpaka Shekemu, mahali patakatifu, penye mti wa mwaloni wa More. Wakati huo, Wakanaani walikuwa ndio wenyeji wa nchi hiyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12Mwanzo 12:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abramu akapita katikati ya nchi mpaka mahali patakatifu pa Shekemu; mpaka mwaloni wa More. Na Wakanaani siku zile walikaa katika nchi hiyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12