Mwanzo 12:3
Mwanzo 12:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 12Mwanzo 12:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12