Mwanzo 12:13
Mwanzo 12:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, waambie kuwa wewe ni dada yangu ili mambo yaniendee vema, niachwe niishi kwa ajili yako.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 12Mwanzo 12:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri kwangu kwa ajili yako, na nafsi yangu iishi kwa ajili yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12