Mwanzo 10:9
Mwanzo 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 10Mwanzo 10:9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Alikuwa mwindaji hodari mbele za BWANA; Ndiyo maana watu husema, “Kama Nimrodi, mwindaji hodari mbele za BWANA.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 10Mwanzo 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 10Mwanzo 10:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA.
Shirikisha
Soma Mwanzo 10