Mwanzo 10:2-3
Mwanzo 10:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Watoto wa kiume wa Yafethi walikuwa Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. Watoto wa kiume wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Rifathi na Togama.
Shirikisha
Soma Mwanzo 10Mwanzo 10:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wana wa Yafethi ni Gomeri, na Magogu, na Madai, na Yavani, na Tubali, na Mesheki, na Tirasi. Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama.
Shirikisha
Soma Mwanzo 10