Mwanzo 1:9-10
Mwanzo 1:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akasema, “Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, nchi kavu itokee.” Ikawa hivyo. Mungu akapaita mahali pakavu “Nchi” na kusanyiko la maji akaliita “Bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo. Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1