Mwanzo 1:9
Mwanzo 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akasema, “Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, nchi kavu itokee.” Ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1