Mwanzo 1:7
Mwanzo 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akalifanya anga, akayatenga maji yaliyo juu ya anga na yale yaliyo chini ya anga hilo. Ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaliumba anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1