Mwanzo 1:31
Mwanzo 1:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akaona kila kitu alichokifanya kuwa ni chema kabisa. Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya sita.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1