Mwanzo 1:26
Mwanzo 1:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1