Mwanzo 1:25
Mwanzo 1:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mungu akafanya aina zote za wanyama wa porini, wanyama wa kufugwa, na viumbe vitambaavyo. Mungu akaona kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1