Mwanzo 1:22 - Compare All Versions
Mwanzo 1:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni, muongezeke, muyajaze maji ya bahari; nao ndege waongezeke katika nchi.”
Shirikisha
Mwanzo 1 BHNMwanzo 1:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
Shirikisha
Mwanzo 1 SRUVMwanzo 1:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
Shirikisha
Mwanzo 1 SUVMwanzo 1:22 NEN (Neno)
Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni mwongezeke, mkayajaze maji ya bahari, nao ndege waongezeke katika dunia.”
Shirikisha
Mwanzo 1 NEN