Mwanzo 1:21
Mwanzo 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mungu akaumba wanyama wakubwa sana wa baharini na aina zote za viumbe vyote hai viendavyo na kujaa majini; akaumba na aina zote za ndege wote. Mungu akaona kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1