Mwanzo 1:20
Mwanzo 1:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1