Mwanzo 1:14
Mwanzo 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akasema, “Mianga na iweko angani, itenge mchana na usiku, ioneshe nyakati, majira, siku na miaka
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya kuonesha majira, siku na miaka
Shirikisha
Soma Mwanzo 1