Mwanzo 1:11 - Compare All Versions
Mwanzo 1:11 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea. Mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo.
Shirikisha
Mwanzo 1 BHNMwanzo 1:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mimea itoayo mbegu, na miti ya matunda izaayo matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.
Shirikisha
Mwanzo 1 SRUVMwanzo 1:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.
Shirikisha
Mwanzo 1 SUVMwanzo 1:11 NEN (Neno)
Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo.
Shirikisha
Mwanzo 1 NEN