Mwanzo 1:10
Mwanzo 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akapaita mahali pakavu “Nchi” na kusanyiko la maji akaliita “Bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1