Mwanzo 1:1-2
Mwanzo 1:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia. Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu ya maji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1