Wagalatia 6:9-10
Wagalatia 6:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna mavuno kwa wakati wake. Kwa hiyo, tukiwa bado na wakati, tuwatendee watu wote mema, na hasa ndugu wa imani yetu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6Wagalatia 6:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna mavuno kwa wakati wake. Kwa hiyo, tukiwa bado na wakati, tuwatendee watu wote mema, na hasa ndugu wa imani yetu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6Wagalatia 6:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6Wagalatia 6:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6