Wagalatia 6:7
Wagalatia 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Msidanganyike; Mungu hafanyiwi dhihaka. Alichopanda mtu ndicho atakachovuna.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6Wagalatia 6:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6Wagalatia 6:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6