Wagalatia 6:4-5
Wagalatia 6:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kila mmoja na aupime vizuri mwenendo wake mwenyewe. Ukiwa mwema, basi, anaweza kuona fahari juu ya alichofanya bila kuwa na sababu ya kujilinganisha na mtu mwingine. Maana kila mmoja anapaswa kuubeba mzigo wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6Wagalatia 6:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake. Maana kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6