Wagalatia 5:7-8
Wagalatia 5:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenendo wenu ulikuwa mzuri! Nani, basi, aliyewazuia kuuzingatia ukweli? Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri; ni nani aliyewazuia msiitii kweli? Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye anayewaita ninyi.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5