Wagalatia 5:6
Wagalatia 5:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana ikiwa tumeungana na Kristo Yesu, kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna maana; cha maana ni imani ifanyayo kazi kwa mapendo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutotahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5