Wagalatia 5:26
Wagalatia 5:26 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuoneana wivu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5