Wagalatia 5:24-26
Wagalatia 5:24-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale walio na Kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake. Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:24-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho. Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:24-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho. Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5