Wagalatia 5:14-15
Wagalatia 5:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana sheria yote hutimizwa katika kushika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.” Lakini ikiwa mtaumana na kutafunana kama wanyama, jihadharini msije mkaangamizana wenyewe kwa wenyewe!
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako. Lakini mkiumana na kulana, angalieni msije mkaangamizana.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako. Lakini mkiumana na kulana, angalieni msije mkaangamizana.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5