Wagalatia 5:1
Wagalatia 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Basi, simameni imara wala msikubali tena kuwa chini ya nira ya utumwa.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika uhuru huo Kristo alituweka huru; kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika ungwana huo Kristo alituandika huru; kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5