Wagalatia 4:7
Wagalatia 4:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa hiyo, wewe si mtumwa tena, bali ni mwana. Na kwa kuwa wewe ni mwana, Mungu amekufanya wewe pia kuwa mrithi kupitia kwa Kristo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 4Wagalatia 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wewe si mtumwa tena, bali mwana. Na ikiwa ni mwana, basi, wewe utapokea yote Mungu aliyowawekea watoto wake.
Shirikisha
Soma Wagalatia 4Wagalatia 4:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama ni hivyo, wewe si mtumwa tena bali u mwana; na kama u mwana, basi, u mrithi kwa Mungu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 4