Wagalatia 4:4
Wagalatia 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wakati ule maalumu ulipotimia, Mungu alimtuma Mwanae aliyezaliwa na mwanamke, akaishi chini ya sheria
Shirikisha
Soma Wagalatia 4Wagalatia 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria
Shirikisha
Soma Wagalatia 4