Wagalatia 4:21
Wagalatia 4:21 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je, hamjui sheria inavyosema?
Shirikisha
Soma Wagalatia 4Wagalatia 4:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Niambieni, enyi mnaopenda kutawaliwa na sheria: Je, mnasikia isemavyo sheria?
Shirikisha
Soma Wagalatia 4Wagalatia 4:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
Shirikisha
Soma Wagalatia 4