Wagalatia 4:1
Wagalatia 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nasema hivi: Mrithi, akiwa bado mtoto, hawi tofauti na mtumwa ingawaje mali yote ni yake.
Shirikisha
Soma Wagalatia 4Wagalatia 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini nasema ya kuwa mrithi, wakati wote awapo mtoto, hana tofauti na mtumwa, ingawa ni bwana wa yote
Shirikisha
Soma Wagalatia 4