Wagalatia 2:6 - Compare All Versions
Wagalatia 2:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini watu hawa wanaosemekana kuwa ni viongozi – kama kweli walikuwa hivyo au sivyo, kwangu si kitu, maana Mungu hahukumu kwa kuangalia mambo ya nje – watu hawa hawakuwa na mawazo ya kuniongezea.
Shirikisha
Wagalatia 2 BHNWagalatia 2:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini wale viongozi waliosifika kuwa wana cheo; (walivyokuwa vyovyote ni mamoja kwangu; Mungu hapokei uso wa mwanadamu); nasema, hao waliosifika hawakuniongezea kitu
Shirikisha
Wagalatia 2 SRUVWagalatia 2:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wale wenye sifa ya kuwa wana cheo; (walivyokuwa vyo vyote ni mamoja kwangu; Mungu hapokei uso wa mwanadamu); nasema, hao wenye sifa hawakuniongezea kitu
Shirikisha
Wagalatia 2 SUVWagalatia 2:6 NEN (Neno)
Kwa habari ya wale waliokuwa wakubaliwe kuwa viongozi (kwangu mimi sikujali vyeo vyao, maana Mungu hana upendeleo), wale watu hawakuniongezea chochote.
Shirikisha
Wagalatia 2 NEN