Wagalatia 1:15-16
Wagalatia 1:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu, kwa neema yake, alikuwa ameniteua hata kabla sijazaliwa, akaniita nimtumikie. Mara tu alipoamua kunifunulia Mwanawe kusudi niihubiri Habari Njema yake kwa watu wa mataifa mengine, bila kutafuta maoni ya binadamu
Shirikisha
Soma Wagalatia 1Wagalatia 1:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake, alipoona vema kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu, ili niwahubirie Mataifa habari zake; mara sikufanya shauri na watu wenye mwili na damu
Shirikisha
Soma Wagalatia 1Wagalatia 1:15-16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake, alipoona vema kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu, ili niwahubiri Mataifa habari zake; mara sikufanya shauri na watu wenye mwili na damu
Shirikisha
Soma Wagalatia 1