Wagalatia 1:1
Wagalatia 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Paulo niliye mtume si kwa mamlaka ya binadamu, wala si kwa nguvu ya mtu, bali kwa uwezo wa Yesu Kristo na wa Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu
Shirikisha
Soma Wagalatia 1Wagalatia 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Paulo, mtume, (si mtume wa wanadamu, wala kutumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo, na Mungu Baba aliyemfufua kutoka kwa wafu)
Shirikisha
Soma Wagalatia 1