Ezra 9:3
Ezra 9:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilipoyasikia maelezo hayo, nilizirarua nguo zangu na joho langu, nikazingoa nywele zangu na ndevu zangu kwa huzuni kubwa na kuketi chini kwa hofu.
Shirikisha
Soma Ezra 9Ezra 9:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami niliposikia hayo, nikararua nguo yangu na joho langu, nikang'oa nywele za kichwa changu, na ndevu zangu, nikaketi kwa mshangao.
Shirikisha
Soma Ezra 9